MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Kwa kuwa hapa ni pa matangazo madogo madogo, basi mie natangaza kuuza vitu vifuatavyo:
1) Laptop. HP Compaq NX6110. Haifanyi kazi. Hard-disk drive controller imekufa. Hizi NX series zilikuwa na kasoro toka kiwandani. Ina RAM 1GB, CPU Pentium M (sikumbuki speed, lakini iko fast), screen nzima, keyboard nzima, case nzima, CD-Writer nzima. Atakayeinunua anaweza kuitumia kwa spare parts. Nauza USD 500.00, or next offer.
2) Zantel CDMA OEM datacard. Nzima kabisa. Ila haifanyi kazi kwenye Linux. Zantel hawana support kwenye Linux kwa sasa. Mimi natumia Linux na Macintosh. Nitanunua USB CDMA modem kwa ajili ya Macintosh, sometime next week.
Ni hayo tu.
Mwenye kuhitaji anitafute kwa PM, tutadiscuss.
./Mwana wa Haki