Confirm if you are coming...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,732
40,839
Nawashukuru wale ambao mmekwisha confirm. Kwa wale ambao wangependa tukusanyike pamoja ile jioni kabla ya "muziki wa old school" pale Columbus thibitisha nami kabla ya mwisho wa kesho ili nijua kama mahali nilipopata panatosha au nifanye adjustment. Nisije kupoteza "tujisenti" twangu. Hii ni private gathering.

Asanteni.
 
Mkuu naona ile show ya Wangwe na Lissu KLHnews ina tarehe ya May 30, nafikiri ulikuwa una-maanisha June 30.

Gm
 
Nawashukuru wale ambao mmekwisha confirm. Kwa wale ambao wangependa tukusanyike pamoja ile jioni kabla ya "muziki wa old school" pale Columbus thibitisha nami kabla ya mwisho wa kesho ili nijua kama mahali nilipopata panatosha au nifanye adjustment. Nisije kupoteza "tujisenti" twangu. Hii ni private gathering.

Asanteni.

..msemo huu umekuwa lame sana siku hizi,baada ya mzee wa vijisenti kuupa umaarufu.
 
Kelly,

Eti ni airport gani ya kushukia hapo mkuu? maana naona ziko tatu hapo Ohio!

:) :) :) chunga tu mkulu usije ukajikuta unashukia Baghdad au Kabul international airport... lol

wikendi kweli imeanza sasa.....

Nawatakieni nyote maandalizi mema...
 
Back
Top Bottom