Kuna jamaa namfahamu anaitumia majina hayo.....ngoja nitamuuliza....unataka nini? ujue wanatoka wapi au unataka umfahamu kabisa mtu huyo?Kuna mtu yeyote ana fahamu mtu/watu wanaotoka kwenye ukoo/familia ya Kiberiti/Kibiriti?
Inasemekana ni ukoo/familia ya Kipare...
Kuna jamaa namfahamu anaitumia majina hayo.....ngoja nitamuuliza....unataka nini? ujue wanatoka wapi au unataka umfahamu kabisa mtu huyo?
Huyu bwana mwenye jina kama hili si daktari maeneo ya shinyanga.
Kama si kosei ni hospital ya mkoa wa shinyanga...pale mjini.
... kuna jamaa mmoja anaitwa "Kibiriti" na wengine wanamwita "chibiriti" ni mwenyeji sana wa globu ya jamii kwa mikonozzz (Michuzi), yuko based Italy... waweza jaribu wasiliana na Michuzi akirudi online, just in case..
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us