Off we Go!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
Wengine tayari mnayo namba yangu... for the others nitakuwa OH mjini kabisa kuanzia saa tisa hivi mchana. We'll order vya kutafunwa na kunywa kabla hamjaenda kusakata mayenu.

Unaweza kunipata: 1 248 556 6748

See you there!
 
Mzee Mwanakijiji;

Nategemea makubwa kutoka kwenye huo mkutano; Wish you all the best!
 
ndio nimeingia Columbus....its such a quite city at least leo downton hapa. Kasheshe hakuna mkutano ni gathering tu ya watu kula nyama choma n.k nothing political... just a social gathering.
 
ndio nimeingia Columbus....its such a quite city at least leo downton hapa. Kasheshe hakuna mkutano ni gathering tu ya watu kula nyama choma n.k nothing political... just a social gathering.

Kasheshe anakuchimbua tu na mitambo yake ya TV huyo.... lol
 
mkjj, nishitue kwenye mambo ya live conferencing yakianza (kama mlifanikisha)... i think nitaweza kupatisipeti...
 
...kila la heri kwenye huo 'mnuso'...ama asiyekuwapo na lake halipo, tubandikieni picha basi yalojiri huko, hata hayo 'masoro na manyama nyama!'
 
Tunaweza kuona live runingani? nataka nione kama mnaweza kusakata mayenu
 
Ndio tumetoka sehemu ya kwanza ambayo ni picnic at the park.. almost with conservative estimates kama wabongo 300 walikuwa hapo... nitawaacha wengine wasimulie. Now off we go kwenye kushindana kucheza "Kikuku kinanukiaaa"... hata hivyo wazee wa umri wangu inaonekana ni wachache.

Tunatarajia kuwa live kupitia bongoradio.com na klhnews.com wakati wowote na muda wote mara tu mitambo ikikubali. So keep listening na ukisikia sauti yangu.. you know it is live from Columbus!!
 
Saa tisa hii.. back to the Hotel.. exhausted...relieved.... the day has come and now gone..
 
Hebu tueleze! Mwana Jamii mmoja aliniahidi kuleta picha za mlumbano wa kudansi-lakini nasikia kapigwa na Mdada na Kamera yake kavunjiwa! Huyu Jamaa alikuwa anitumie angalau kamoja kutoka huko...You still out there?
 
siku mpya imepambazuka... wenye kuumwa kichwa wanaumwa na wenye kujiandaa kurudi makwao ndio wanajiandaa... the verdict...? Nitawaacha wengine waamue. It was very great to meet friends... QM, Mkandara, Kigoma, Jeff and the whole crew from Canada... Mazee Geeque, na countless members wa JF kina Ab-Tichaz na wanadada wote wakiongozwa my own cuz.. Kelly01!

Asante kwa kukutana na kufahamiana.
 
Mzee Mwanakijiji,

Don't tell me that there were no any way forward or resolution!!!

Yaani ilikuwa kunywa tu na kufurahi post zenu humu JF?

I'm trying to believe but... i'm really struggling!!!
 
Kasheshe... kuna mengine hayasemwi humu...... let me assure you... it was more than bumping and grinding!!
 
Hongera. Hii ni nzuri maana natamani ningekuwapo kwani nyama choma napenda sana. Na hasa hii wanaita kiti fire mzee wa kunusanusa naye alikuwa kwenye menu?
 
Naam.....what a weekend!!!!!!!!

"party ain't stoppin 'til 7 in the morning,
comes 8 o'clock people still ain't yawning,
there 's an after party and everyone is checking out at 9 in the morning,
"

Yes sir, mziki ulizimwa saa 1 asubuhi. Yaani unatoka nje kweupee.. Halafu party pipo wanazungumzia afterparty...

Mwanakijiji na Mkandara, it was such an honor to meet both of you guys. Yaani alimiss Mzee wa "Sauti ya Umeme" tu pale....

Mazee GQ, Abi-Tichaz, na wengine wote waliokuja....fashizzo manizzo hizzo dizzo (what a heck did I just write?)

And Kisura, thank you for wearing that dress~
 
Mzee Mwanakijiji,

Don't tell me that there were no any way forward or resolution!!!

Yaani ilikuwa kunywa tu na kufurahi post zenu humu JF?

I'm trying to believe but... i'm really struggling!!!

Kasheshe,
kwani ni resolutions gani ulitegemea zingepatikana?

Idea ilikuwa ni kukutana na kufahamiana. Hilo limefanyika kwa wale memba walikuja.

Au mzee ulikuwa unadhani mpango ulikuwa ni kukutana na kutunga sera fulani nini?
 
Hey Cuz! whats popping....nakutafuta sana hadi kazini hupatikaniki what's gud cuz umekuwa fired nini?,,,haya nicheck basi ASAP!...THIS IS VERY IMPORTANT cuz!....don't let me wait that long
 
Mwanakijiji, QM, GQ, Tichaz.....

Shukran nyingi sana wakuu hakika nimefurahi sana kuonana nanyi....
Tuzidi kuwasiliana tusichoke..
 
Hey Cuz! whats popping....nakutafuta sana hadi kazini hupatikaniki what's gud cuz umekuwa fired nini?,,,haya nicheck basi ASAP!...THIS IS VERY IMPORTANT cuz!....don't let me wait that long

cuz.. check your PM... nicheki baada kama ya nusu saa...hivi.. unajua tena monday.. hata kwenye dawati sijakaa leo... lakini nipo ofisini.
 
Mkjj na Mkandara, kumbe wazee latino dance imetulia heee. Naona mlikuwa mnajimwaga kweli kweli....

Halafu Mkjj naona mzee talent ni nyingi mno...maana jinsi ulivyokuwa unaruka majoka wakati wimbo wa "ole ole....ole ole....jimi achi achi achi" ulivyokuwa hewani... Nilizimia pale tu jinsi ulivyo spin wheelchair yako....yaani ulichora nane fulani hivi.....ha ha ha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom