Few days left until Old skool party of the ceutnry! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Few days left until Old skool party of the ceutnry!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Binti Maringo, Jun 25, 2008.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ca you all believe it?!!...yaani oldskool party of the century unanukia sasa...few days left!....

  CUz (Mwakijj)....hureeeeeeeeeeey!...

  And ooops stay tuned this sunday Bongo radio will bring you live interview with waandaaji (host) wa Old skool party wakikuelezea what to expectnext weekend...

  Aiiight!

  xoxo
  Gosssip Girl!
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jun 25, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  tena itakuwa vizuri cuz.. na miye tumejiandaa,... ambaye haja tuna ushuku Utanzania wake.. !LOL
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Which century?
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Cuz tena nimesahau....Bongo Radio will broadcast live kutoka Columbus that day...so ya"all who will not be able to attend stay tuned we will be live for shoo....
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 26, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  hayo ndiyo maneno.. raha kwa raha tupu!
   
 6. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mdundiko au rusha roho vitakuwepo?
   
 7. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama hakuna rusha roho vidole juu then itakuwa noma.......Bila kusahau mnanda mkesha wa uhuru....kwikwikwi
   
 8. j

  jibabaz Member

  #8
  Jun 26, 2008
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ms Kelly naona una hamu wiki hii ishe kesho kwi kwi..lakini columbus si umetoka juzi tuu?
  Anyways hii kitu sikatai iytakua sio mchezo..shauri zao ambao hawakuwepo enzi za YEKE YEKE NUAAA YEKE YEKE...mmhh haya inatosha
   
 9. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Nitakuwepo yaani Radio station FMES uwanjani, tena in the House duh! Asiye mwana abebe jiwe huko!
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Jun 26, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mzee tunakusubiri kwa hamu...
   
 11. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Dang Jibabaz...duuh! how did you know i was in Columbus?....but to tell you the truth eeh mwenzio i can't wait hii week iishe nianze hesabu zangu days...maana hii kitu reminds me a lot of them dayz watu tunatoroka home kisa disco na pia kila weekend lazima uzushe borthday party ili kupata ruhusa ukiona home wamekustukia basi unachomoka kiaina...unakula raha huko kasheshe time za kurudi home unaanza kuhaha....Ila eeeh i tell you what old is gold!....
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  useful Info!

  PARTY PIPO
  The Event You have been waiting in Mid-West's Finest (614), COLUMBUS, OHIO.

  Wabongo's Official City the original Bashment was Born.
  THE OLD SKOOL WEEKEND
  July 3rd - July 6th.
  3 Nights, 3 Different Venues,

  Plenty of Daytime Activities, Sports Events(Simba v/s Yanga), BBQ

  BROUGHT TO YOU
  J&T Ent., Oldies Gold Productions & Lups Ent.

  FRIDAY JULY 4th,

  MAISHA NIGHT @ COMFORT INN & SUITES,
  1213 E. Dublin Granville RD, Columbus, OH 43229
  Doors Open 10pm - 5am, Cover $10

  MAIN EVENT
  Saturday July 5th,
  OLD SKOOL PARTY @ THE GATHERING PLACE,
  847 E. 11th Ave. Columbus, OH 43211
  Doors Open @ 9pm - 7am, Cover $10 B4 Midnight

  Special Appearance By DJ Bonni Luv, T&T Jackson, surprise DJ from UK, and Own Zone The Mix Master Dj Luke....

  Check out hotels @ http://www.kayak.com
  For more Information - http://www.oldskoolnjoo.com
   
 13. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Yeah tutakuwepo pale Kama Kawa kuleta mambo yote LIVE.
   
 14. j

  jibabaz Member

  #14
  Jun 27, 2008
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee si unajua tena bi Kelli ukiwa na karai unaona vilivypita na vijavyo.
  Ila hii party daa..mambo ya kina dada kuva vimini kisha kuvaa kanga juu yake kama wanaenda msibani kumbe ndo kuingia club ukitoka msibani..upo hapo?
  hee hee
   
 15. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Enlighten me...Karai ina refect kitu gani tena..bado sijakupata Jibaba.
  Umesema nikiwa na karai karai gani hilo tena?
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jun 30, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  tunaanza kuhesabu masaa tu.... yupee!!!
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Thats whaz upper cuz...i can't wait me and you get our reunion back uh!...maana it has been a while cuz!.Hope all is well....

  count down4 days left so far!
   
 18. j

  jibabaz Member

  #18
  Jul 1, 2008
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KELYY unaniangusha..kwi kwi naposema karai maana ni kama vile uko kwa mganga wa kienyeji unaangalia karai kuona nani yuko wapi na anafanya nini mithili ya simba na yanga zamani.
  Ntakupa mfano..niliangalia kwenye karai nikaona mtu kaa wewe mjini MN..sina uhakika naomba utanisahisha kama nilikosea kwi kwi
  ila itabidi uni PM maana mi nishalewa ku confirm hii kitu ya MK pre party meeting of wana JF plus mi bado mdogo humu kwi kwi kwi
   
 19. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Jibaba naona umenifananisha nope sikuwepo MN!..I haven't been to MN for a while...mmh nahisi basi unanifananisha wee hiyo ya Ohio nayo naona umeotea huna uhakika kama uliniona au lah...

  The kama wewe bado mdogo ninachokushauri ni ukae tuu nyumbani maana hizi shughuli za this weekend na watoto wadogo haziendani kabisa....ushauri wangu Jibaba just stay home watch movies au paly video games....wait for next time ukifika age ya kura raha hahahaha....
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jul 1, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  cuz.. no you didn't! well.. mambo yote Columbus... wale wazee wenzangu tunaokutana Off-Broadway leo ndio nakamilisha mambo mengine yote. Thanks for everything. Najua kuna vijana wetu wengine wanaoanza kuingia huko Ijumaa.
   
Loading...