Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,695
- 40,721
Tunaendelea na majaribio kwenye klhnews na muda huu nimeanza kurusha mchanganyiko wa nyimbo na baadhi ya mahojiano na matangazo niliyoyafanya huko nyuma. Wote mnakaribishwa kusikiliza. Zaidi napenda kujua kama watu wa Tanzania wanaweza kutusikia vizuri au yatupasa tubadilishe frequencies zetu.