Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,762
- 40,987


My Take:
If you ain't coming, you ain't ol' school! so if you are coming holla @ ur boy... PM me.
By the way kama bado kuna watu wanataka kwenda nashauri wa oop on High Street going East and that should take you towards OHIO STATE UNIVERSITY. Pale kuna hiyo Eddie George's Bar and grill down na clubs n bars za kumwaga kwa wale wenye kupenda nyama basi msijali sana coz a whole lot of college kids live in the area. White bitches for everyone!
kama unapenda ma sistaz then jimwage arena District they got Brothers, Sugar, Spice, Bar Louie, you looking for some Sista's Club Ice and the Cove is where they at!...
mtakao enda nashauri mnunue condoms za kumwaga tuuu
Brazameni ,
naona unahasira kweli na mji wa Columbus.
Hata hivyo haya maswala ya Pizza ni ya wao wamarekani.Sisi tunawacheki wale wasomali na pia kuna wakuu wanahost washkaji kwenye maswala ya mankuli na accomodation.My point being, lets have fun in Columbus kisha twende ATL...ONE LOVE as a people.
Thats all I'm saying.
Wote mnaoweza tukutane Columbus!
Natumaini huna undugu wa bara na Mayor wa Detroit....
Hivi Mayor huwa anjitambulisha mwenyewe au huwa anatambulishwa?