Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,762
- 40,987
Tovuti yetu ya klhnews.com haiko hewani kwa sasa and I have no idea why! working on it...
Angalia kama viti vya ofisi havina poda poda yoyote, na hakikisha camera zilikuwa hazikuzimwa. Ukimaliza uchunguzi tuambie. Chukua muda wako.
Tovuti yetu ya klhnews.com haiko hewani kwa sasa and I have no idea why! working on it...
mmh...haya mambo huwa yanachengua tu... we had the first attack this morning, walipojaribu kuoverwhelm traffick lakini tukistahimili... sasa sisi wenye tujisenti kweli tutaweza kusimama mbele yao hawa...
Msanii je wewe Sinclair alikujibu? mimi nilipotuma ile barua baadaye aliijibu! Naona ilimuuma sana kiasi kwamba aliona ni vizuri ajibu kujitetea kuwa habari za ripoti hii ilitoka CNN na sijui wapi huko! kweli mfa maji.........tulipoituma ile barua kwa sinclair ulitegemea atatuacha tuwalk freee??? Ila thanx Mungu ametunusuru......