Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

jJITA VOCATIONAL TRAINING COLLEGE (JITA VTC) Tunawakaribisha vijana wote wenye mtazamo mbadala hasa baada ya kupata ufaulu/matokeo ambayo hayakuwaridhisha. Tusiwakatishe tamaa na wao hawana sababu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina milioni 4 nahitaji gari haswa na.C iliyoko kwenye hali nzuri. Au kama na.D naweza toa milioni 5. Nitumie picha na bei whats up tukikubaliana nije kukagua tayari kwa buashara. A au B liwe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kabila ni samsung. For 900000.. tutaelewana karibuni. Ni kubwa la milango miwili. Halina tatizo lolote lipo kama jipya. Mashine ya kufulia ni kilo 6 for 350000 0717622717 or 0776950000.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yako shambani. Bei maelewano,piga 0717221759 au 0686339972 kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Valentine day specials Mauno TV
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Wakuu wa nchi ninayo Landcruaser Prado TX diesel engine. Iko safi kabisa imeparking tu uani .Nilikuwa nahitaji hizi landcruaser hardtop kwa ajili ya kupeleka wageni wangu safari ndio maana...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kujua uimala wa GARI HIZI 3 VITZ SPACIO IST. N IPI GARI BORA NA NGUMU .binafsi nashindwa nichague ipi,mawazo yenu tafadhari
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nahitaji Baadhi ya Movie za 2016 kama 50.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF Naomba kufahamishwa sehemu ninayoweza pata mabox ya kubebea vifaranga vya kuku. Mabox hayo huwa yametobolewa ili kuruhusu hewa kuingia wakati vifaranga vinasafirishwa. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Gari hii inauzwa 4mln ...Gari inapatikana tabata Gari haina tatizo lolote..... 0715591141 kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nyumba nzuri,mpya na ya kisasa ipo maeneo ya Mbagala chamazi.Imejengwa ktk ubora wa hali ya juu na ipo karibu na barabara na huduma nyengine za kijamii...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nina machungwa nahitaji kuyauza kenya, nicheki whatsap 0769685873
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana bila shaka mko poa lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuomba kama kuna mdau anaefaham soko la bamia kwa dar,, nina bamia la kutosha nalimia bagamoyo ,,navuna kila baada ya siku moja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalam!! Kwanza napenda kutoa malalamiko yangu kwa hiyo namba iliyowekwa hapo imeishia na 36, sijui ndo salesmen wao au lah, khaa...hapokei simu, akipokea anaongea uwongo khaaa..... _BACK TO...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Naomba kujulishwa kama kuna mwenye kufahamu wapi kuna gym maeneo haya ya Temeke, mtoni, mbagala hadi chamazi, mbande.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanunuzi wa magari yaliyotumika wanapatikana masaa 24, siku saba za wiki. Kama una miliki gari na unahitaji kuliuza wasiliana nasi tukupatie mtu wa kununua tukuondolee msongo wa mawazo unaoweza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sandals size 40,41,42,43, 44 Jumla 13500tzs - kuanzia 5pcs Moja ni 19500tzs Wasiliana nasi whatsapp #0712888884 Call: #0624888884 #0754888588 Tupo Dar, #qualitycentremall #mikoani pia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau nina milioni nne 4000, 000/= nahitaji Carina Ti yenye hali nzuri
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Nyumba ipo boko/ mianzini dare salaam Plot size sqm 1000 Haina title deed Ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master moja Ina jiko Sebure Na sehemu ya kulia chakula Pia ina tailiz ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwakweli hii mobile application yenu ni nzuri sana. Kwa watu kama sisi tunaokesha mashambani kulima matikiti inatusaidia sana, ni swala la kuhakikisha tu chaji itakua full, lakini swala la...
3 Reactions
1 Replies
890 Views
Back
Top Bottom