mh machungwa kwa kenya mkuu sidhani maan wao wanatoaga ukambani ni makubwa kuliko yetu ila ngoja kunajaangu ndo mzoefo zzidi huko nitacheki nae asubuhi maana muda huu ni 2:08 sio sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.