CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
jJITA VOCATIONAL TRAINING COLLEGE (JITA VTC)
Tunawakaribisha vijana wote wenye mtazamo mbadala hasa baada ya kupata ufaulu/matokeo ambayo hayakuwaridhisha.
Tusiwakatishe tamaa na wao hawana sababu ya kukata tamaa fursa zipo nyingi sana. Tunawafungulia milango mingine, waje wasomee fani zifuatazo;
<> Ususi na urembo
<> ushonaji wa nguo
<> kutengeneza batik
<> Tshirt/ screen printing
<> Ufundi simu
<> Upambaji wa kumbi
<> Mapishi ya keki
Tupo Kihonda, Morogoro
Muhula mpya utaanza tarehe 6/3/2017
Tupigie
0752 698 691
0658 698 691