Jamani!! Bei Hizi za magari Haya Mapya Toka Yard, Ni sahihi/ Ndo Kuibiwa?

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,699
4,116
Wataalam!!

Kwanza napenda kutoa malalamiko yangu kwa hiyo namba iliyowekwa hapo imeishia na 36, sijui ndo salesmen wao au lah, khaa...hapokei simu, akipokea anaongea uwongo khaaa.....


_BACK TO THE TOPIC_

Je, Bei hizi walizoweka hawa autocar, ndo bei halisi za magari haya, kama walivyosema wenyewe?

Hebu cheki hizi screenshot!!
2bfc4db194b1de72a61722382364001a.jpg
6dc153b3ccad81cce6efcc2be71e6611.jpg
Eti harrier inauzwa 5M kweli jamani?

bc7b61b661e78098b37706b14bfe125a.jpg

yaaniiiii......

a567a0bc3780b79e32444d63a768eedd.jpg


khaaa......

aec37eb1a4ce5135f55133bb2aa095b1.jpg


yelewiiii.....


557fcd7fd74c4a0646b7a488ac8d893a.jpg



8b1596cffbf7da7e5c6d41eba30f21ce.jpg
 
Wakikujibu ni-tag please... Ingawa pia yawezekana. Fanya research yako binafsi kwenye mtandao ujionee pia.
 
Hizo ni kabla ya TRA na TPA kuchukua vyao hapo. (pia naamini hayo ni secondhand)
 
Hiyo ndio faida ya kuwa na viwanda vya magari ndani ya nchi yako maanake hakuna freight, hakuna import duty, na mengineyo.
 
Kuna FOB na CFI...Hizo naona ni free on board hazijalipiwa bima ya wala kodi ya kugombolea ndugu
 
Labda hukuelewa, hapo hiyo bei imeandikwa from......../= kwa hiyo hapo inaweza kuzidi hata mara mbili kutegemeana na gari yenyewe! Ingekuwa vyema ukaingia kwenye link husika ukaangalia hayo magari maana waweza kuta gari bei kwenye tangazo imeandikwa kuanzia mil4 lakini ni ya 1998 na imetembea zzaidi ya km 300,000.
 
Inawezekana, siku hizi kuwa na gari si anasa kama zamani, mtu yeyote anaweza kununua akijipanga, kuimiliki ndio kazi, nina maana ya kuijali kwenye mafuta, service, kuilipia na mtafutano na traffic barabarani.
 
Hizo bei zinaweza kuwa sahihi kwani hapo bado kodi na makorokoro mengine, na hiyo ya 5m mbona sio harrier ni toyota allion?
 
Mkuu hzo ni bei za magari kwa kule lakn autocom wanaagiza gari kwa best price
Nimeagiza mazda demio kwa 8.5 kila kitu m nalipia bima tu akat kwa kampn nyngne had kumi hko na gari ni frsh kila kitu blv m ila kumbuka mchawi ni TRA wa hapa kwetu lakn hyo ndo price ya gar
 
Back
Top Bottom