KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 200
Habari wana JF
Naomba kufahamishwa sehemu ninayoweza pata mabox ya kubebea vifaranga vya kuku. Mabox hayo huwa yametobolewa ili kuruhusu hewa kuingia wakati vifaranga vinasafirishwa.
Nawasilisha