Nahitaji Gari

Nahitaji Gari

maringeni

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
3,197
Reaction score
3,901
Nina milioni 4 nahitaji gari haswa na.C iliyoko kwenye hali nzuri. Au kama na.D naweza toa milioni 5.
Nitumie picha na bei whats up tukikubaliana nije kukagua tayari kwa buashara.
A au B liwe nzima sana.
 
Back
Top Bottom