kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Naomba kujulishwa kama kuna mwenye kufahamu wapi kuna gym maeneo haya ya Temeke, mtoni, mbagala hadi chamazi, mbande.
Huwa naionaga nikipita lakini nilifikiria ni ya wabeba vyuma zaidiCharambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia.
Gharama kiasi gan mkuuCharambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia.