Toyota cami inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
86,994
120,255
Gari hii inauzwa 4mln ...Gari inapatikana tabata
Gari haina tatizo lolote.....
0715591141 kwa mawasiliano zaidi
 
Toyota cami
 

Attachments

  • IMG-20170208-WA0044.jpg
    IMG-20170208-WA0044.jpg
    42.5 KB · Views: 100
  • IMG-20170208-WA0043.jpg
    IMG-20170208-WA0043.jpg
    39.3 KB · Views: 111
  • IMG-20170208-WA0042.jpg
    IMG-20170208-WA0042.jpg
    49.7 KB · Views: 99
  • IMG-20170208-WA0041.jpg
    IMG-20170208-WA0041.jpg
    44.3 KB · Views: 111
  • IMG-20170208-WA0038.jpg
    IMG-20170208-WA0038.jpg
    47.1 KB · Views: 108
  • IMG-20170208-WA0040.jpg
    IMG-20170208-WA0040.jpg
    30.9 KB · Views: 84
Hii namba ni ya kuangalia fine za makosa ya barabarani
Gari haina deni mkuu...
Biashara ya gari zina taratibu zake na zinajulikana ukishakagua Gari ukiridhika unakagua na Doc kama Kadi TRA ukiridhika ..
Unamaliza biashara unachukua chombo

Ova
 
Hiyo siyo Toyota Cami.. Ninayo Gari kama hiyo, usipokuwa makini utazichanganya. Hiyo gari siyo Cami,hiyo Daihatsu Terios. Angalia nembo yake kwa mbele...ni ya Terios na sio Cami.
Terios na Cami tofauti kubwa ni jina tu.
Ukiacha hilo , why motor vehicle isome brevis?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom