Matikiti maji yanauzwa

ong'wafaza

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
245
105
Yako shambani.
Bei maelewano,piga 0717221759 au 0686339972 kwa maelezo zaidi.
20170207_101452.jpg
20170207_101436.jpg
20170207_102105.jpg
 
Wewe ni dalali au mteja?
Kama ni mteja vocha tu inakuwa shida,je hela ya matikikiti itakuwaje?
Akili zingine bhana
Sasa kwa mfano uko Dar na huyo unayetaka akupigie simu yuko Kigoma mtafanya biashara gani? Ukizingatia biashara yenyewe ni matikiti(perishable goods)
Ndo maana ni muhimu kusema ulipo ili walioko karibu nawewe wachangamkie hiyo fursa sasa ukianza kuleta siasa za kutaka upigiwe simu na kila mtu, sidhani kama wewe kichwani uko sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom