Nabadilisha landcruaser Prado TX diesel engine na Landcruaser hardtop

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,778
Wakuu wa nchi ninayo Landcruaser Prado TX diesel engine. Iko safi kabisa imeparking tu uani .Nilikuwa nahitaji hizi landcruaser hardtop kwa ajili ya kupeleka wageni wangu safari ndio maana naibadilisha naweza kumuongezea hapo hela Au kubadilisha tuu ,asante sana na kama una Jua mtu anayehitaji hiyo Prado please let's me know please,
 
Nna short lkn iyo hardtop n engine ya petrol
 
Hardtop kwa prado sidhani km kuna mtu atakubali labda machalii wa dar wasiojua magari
Nimekuelewa mkuu .Ila unaweza kukuta unataka kumpa wife or girl friend ambao wanahitaji Automatic transmission mkuu .na inategemea na chaguo la mtu mkuu .
 
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri ,nabadilisha landcruaser Prado TX diesel engine na Landcruaser hardtop .Prado iko powa kabisa imeparking tu uani. kama utakuwa unahitaji naomba Uni private message. For more information please. Naweza kukuongezea hela .thanks you guys and God bless you,
 
unataka macho panzi au zile Old Model ip kati ya hizi
8763-1-car.jpg

790284117_4_644x461_toyota-land-cruiser-hardtop-4200cc-vehicles_rev004.jpg
 
Back
Top Bottom