Natafuta soko la bamia

Natafuta soko la bamia

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari zenu waungwana bila shaka mko poa
lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuomba kama kuna mdau anaefaham soko la bamia kwa dar,, nina bamia la kutosha nalimia bagamoyo ,,navuna kila baada ya siku moja
 
Back
Top Bottom