bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,012
- 741
Plot size sqm 1000
Haina title deed
Ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master moja
Ina jiko
Sebure
Na sehemu ya kulia chakula
Pia ina tailiz ndani
Ipo ndani ya fensi
Maji na umeme ndio mahara pake
Ipo umbali wa meter 600 kutoka barabara kuu ya rami
Bei 120milion
+255712464777