Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mbao za futi 12 za dawa trited wood - 2x4 @ 7500pc - 2×2@ 4000pc - 1x8@ 14000pc - 1x10@18500pc Bei zetu ni za dukani na hazina udalali ogopa matpeli wa udalali wa mbao njoo upate kilicho bora kwa...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Year of manufacture: 2007 Cc: 1995 Colour: Blue ODO kilometer: 140, 000 condition: nzuri sana, inatumiwa na mwanamke Location: Mbeya city (forest mpya) Price: 13...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
[https://3] Ankal Issa Michuzi wa Michuzi TV, Millard Ayo na Askofu wa Ayo TV na Abdallah Mrisho wa Global TV wakitoka makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano walikoitwa kuchukua barua zao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana. Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12. Nimebadilisha maji lkn bado. Naomba kujua bei ya...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Mint condition. 2.3M
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Wapendwa salaam. Nna wawekezaji ambao wanatafuta sehemu zenye Quartz na Marbles. yeyote mwenye eneo au mgodi naomba ani PM tufanye Biashara. Natanguliza shukhrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
>Bei 350,000 >Mpya >One pad (wireless) >cd 3 za mission for free >full accessories >Kimara,Dar >0714134399
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Nauliza wapi naweza kupata saa za kike na kiume za bei ya jumla?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
wakuu natafuta simu tajwa hapo juu mwenye nayo karibu tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mafuta ya kupikia ya kasuku, nipo DSM, je naweza kuyapata wapi?
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Gari inauzwa toyota Vitz: Make:1999 colour:Silver condition:Mint Milliage:133,000km Plate number:CLPXXX Price:5 Million(fixed Price) REGISTRATION:Valid Only serious buyers contact me: 0624052138
0 Reactions
12 Replies
2K Views
JE UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MAFUTA MWILINI, KITAMBI, AU MATATIZO YA TUMBO Karibu ETERNAL INTERNATIONAL BIOTECHNOLOGY Umuhimu wa mwanadamu upo kwenye kujua hali ya afya yake ikoje , watalaamu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi Nauza Kiwanja changu kilichopo Dodoma Mjini eneo la Makulu kwa bei ya kutupa kabisa (Ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma) Kina ukubwa wa Hatua 15 kwa 30 na kipo tambarale Bei ni Tsh...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nipo mkoani mbeya wilaya ya mbozi, nahitaji mtu wakubadilishana nae awe mkoa wa kilimanjaro au arusha au manyara wilaya yeyote.
0 Reactions
4 Replies
886 Views
Ipo mwenge karibu kabisa na bamaga stendi master rum sebule na jiko vyote ndani maji 24hrs ndani yà geti na parking ipo bei laki230 ukishalipa hakuna bili yyte zaidi ya kujinunulia Umeme Luku ya kwako
0 Reactions
4 Replies
3K Views
NATAFUTA HP PROBOOK 450 g1 Ama 650 g1 Or g2 g 3 g4 USED AU MPYA
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Ni kampuni inayojiusisha Na utotoleshaji Wa vifaranga Na kuunza vifaranga aina ya Chotara(Malawi,chroiler,n.k).kampuni hii imesajiliwa kiserikali...inakupa fursa we we Mjasiriamali kuwezakupata...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kampuni inayojiusisha Na utotoleshaji Wa vifaranga Na kuunza vifaranga aina ya Chotara(Malawi,chroiler,n.k).kampuni hii imesajiliwa kiserikali...inakupa fursa we we Mjasiriamali kuwezakupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom