S saleh2015 New Member Feb 10, 2017 2 1 Feb 12, 2017 #1 Kabila ni samsung. For 900000.. tutaelewana karibuni. Ni kubwa la milango miwili. Halina tatizo lolote lipo kama jipya. Mashine ya kufulia ni kilo 6 for 350000 0717622717 or 0776950000.
Kabila ni samsung. For 900000.. tutaelewana karibuni. Ni kubwa la milango miwili. Halina tatizo lolote lipo kama jipya. Mashine ya kufulia ni kilo 6 for 350000 0717622717 or 0776950000.
LuisMkinga JF-Expert Member Jan 10, 2012 3,162 6,074 Feb 12, 2017 #2 Why American ( ni uhaya au mahali uliponunulia) aisee hivi viazi nilivyokula Leo ni hatari
black chinese JF-Expert Member Aug 1, 2016 1,148 1,228 Feb 12, 2017 #3 Hili friji mbona kama la Amana hospital??!!..
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 54,889 120,043 Feb 12, 2017 #5 LuisMkinga said: Why American ( ni uhaya au mahali uliponunulia) aisee hivi viazi nilivyokula Leo ni hatari Click to expand... Sio uhaya, double parallel door fridge freezers zinaitwa hivyo,american style fridge freezer.
LuisMkinga said: Why American ( ni uhaya au mahali uliponunulia) aisee hivi viazi nilivyokula Leo ni hatari Click to expand... Sio uhaya, double parallel door fridge freezers zinaitwa hivyo,american style fridge freezer.