Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wadau. Nahitaji remote ya subwoofer kwa anayefahamu wapi naweza pata au kama anayo tufanye biashara. Remote iliyokuwepo ilikuwa inaongeza sauti,bass na stereo lakini haiwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekali 38 pamoja na miti yake aina ya mpaina yenye umri wa miaka 5 naliuza. Shamba lipo wilayani Mufindi maeneo ya Mudamulo-Mafinga. Ekali moja ni sh. 1,000,000 tu. Unaweza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salama wakuu. Naomba msaada kwa aliyepo Tanga. Natafuta kiwanja cha bei poa naeneo ya Majani Mapana. Ni eneo la kujenga nyumba ya kuishi. Msaada plz.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
kwa mahitaji ya fundi wa AC,umeme,CCTV,dish na vifaa vyote vya umeme sisi tupo kwa ajili yako tuchek kupitia 0622001223
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Viwanja Vyote Vina Hati ,Vimepimwa Na Wizara Ya Ardhi Pia Vina Barabara KIBADA shangwe 1Sqm@ 35,000Tsh/=.(11km toka ferry) KISARAWE II 1Sqm@15,000Tsh/=.(17km Toka Darajani.) BEACH PLOT...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
1 Reactions
2 Replies
648 Views
Jipatie magauni kwa bei nafuu kabisa kwa jumla na reja reja Jumla elf 23,000 kuanzia PC 6 Reja reja elf 28000 Whatsapp 0629493754 0629493754
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu, Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa magari ya abiria aina ya Costa. Naomba kujua gharama zake kwa jipya na yeyote anaejua linapopatikana lilianza kutumika na...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu! Nahitaji eneo la kufanya kilimo na ufugaji biashara la bei nafuu popote ndani ya Dsm. 0719815018
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mashine inayotumika kuchoma Kuku(chicken grill) Inatumia umeme pia unaweza Tumia gas..... Msingi/tumbo moja unaweza kuwapanga Kuku 6...na sehemu za kuwaweka Kuku ziko fimbo 5... Kwa hiyo kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari nna gheto langu nahitaji kulipendezesha kidogo. Na carpets na mapazia ka nimuuzaji au una hata account ya social media ya wauzaji waweza nisaidia na kusaidia wengine kupitia nyuzi hii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta chumba cha kupanga ambacho ni master maeneo ya mbezi tangibovu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo; 1. HDD: 500GB+ 2. Processor: Core i5 au i7. 3. Operating System: Windows7 au 10 yenye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Brand : Xiaomi Model: Redmi 3x Mzigo ni 420k ✓✓used - about 4 weeks now but still iko vzuri sanaa { Gold Color} ✓2Gb RAM × 32Gb ROM ✓13Megapixels rear camera ✓5 Megapixels front camera ✓4G...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Habari,wanaJF Nauza MATANK YA KUHIFADHIA MAJI YA SIMTANK...Yapo mawili moja ni la "LITA 10000"..na lengine ni la "LITA 7000"...Yote yapo vizuri hakuna Hata Moja lenye kiraka na yamezungushiwa...
1 Reactions
1 Replies
9K Views
Habari wana JF natumaini wote ni wazima, Nauza kuku aina ya Broiler na wapo tayari kabisaa kwa sh 5500 jumla wapo 200. Nipo makongo juu karibu na CCM. 0788838821 Karibuni sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi nimeamua kufuga kuku lakini changamoto ni soko Niko dar esalaam kwa mwenyej pleas anipe mwanga
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Back
Top Bottom