Andindile
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 304
- 17
Shamba lenye ukubwa wa ekali 38 pamoja na miti yake aina ya mpaina yenye umri wa miaka 5 naliuza. Shamba lipo wilayani Mufindi maeneo ya Mudamulo-Mafinga. Ekali moja ni sh. 1,000,000 tu. Unaweza kununua kwa kukatiwa idadi ya ekali kulingana na uwezo fedha yako au shamba lote. Sababu ya kuliuza ni kwamba ninashida ya hela nataka kuwekeza kwenye mradi mwingine. picha nimeambatatisha. mnaweza kunitafuta kwa no. 0754293720/0652827110