Nahitaji eneo la kufanya kilimo na ufugaji biashara la bei nafuu popote ndani ya Dsm.

suluta

Senior Member
Dec 22, 2016
115
40
Habari zenu ndugu!
Nahitaji eneo la kufanya kilimo na ufugaji biashara la bei nafuu popote ndani ya Dsm. 0719815018
 
Habari zenu ndugu!
Nahitaji eneo la kufanya kilimo na ufugaji biashara la bei nafuu popote ndani ya Dsm. 0719815018
Taja ukubwa wa eneo unalotaka, na bei nafuu ni shilingi ngapi. Maana kuna hekari mbili zipo mbele kidogo ya pugu zinauzwa bei nafuu (35,000,000)
 
TWENDE KIWANGWA BAGAMOYO-ENEO LA MWETEMO.KUNA EKARI 8, ZINAFAA KWA KILIMO CHA MAHINDI NA MAHARAGE.HILO SHAMBA LIPO 3 KMS KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA BAGAMOYO-MSATA.LINAFAA PIA KWA KUFUGA.BEI NI SHS MILIONI MOJA KILA EKARI.MAWASILIANO 0784 26 98 05
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom