Nataka kununua gari ya abiria aina ya costa

Msuyar Jr

Member
Feb 1, 2017
35
11
Jamani ndugu zangu,

Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa magari ya abiria aina ya Costa. Naomba kujua gharama zake kwa jipya na yeyote anaejua linapopatikana lilianza kutumika na gharama zake.
 
madereva na wamiliki wa hizi gari kalibuni mchangie na mwenzetu msuya avuke lengo 2017.... nafahamu ikiwa mpya mf toyota 60 million
 
Yeah na pia kuna coster za kichina na za japan nicheki kwa namba hii 0714787795
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom