Natafuta Kompyuta Mpakato (Laptop)

Kyatsvapi

JF-Expert Member
May 15, 2009
317
196
Wakuu,

Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo;

1. HDD: 500GB+
2. Processor: Core i5 au i7.
3. Operating System: Windows7 au 10 yenye 64-bit
4. Memory: 0.4k+ MB RAM

Budget yangu ni 800,000/=

Mwenye nayo anipm.

Karibuni.

kwa mpya mkuu huwezi kupata, huwa laptop za i5/i7 ni around 1,000,000 kupanda. ila unaweza pata i3.

i3 6100u au 7100u inazipita laptop nyingi tu za i5 na i7 generation za zamani.

Wakuu,

Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo;

1. HDD: 500GB+
2. Processor: Core i5 au i7.
3. Operating System: Windows7 au 10 yenye 64-bit
4. Memory: 0.4k+ MB RAM

Budget yangu ni 800,000/=

Mwenye nayo anipm.

Karibuni.
IMG_20170404_091737.jpg
IMG_20170404_091812.jpg
IMG_20170404_091825.jpg

Mzigo huo hapo ina mwezi tokea nimenunua nataka 550k na Warranty ya mwaka mmoja

Chief naomba unisaidie kama unafahamu sehemu au duka wanauza laptop nzuri kwa hapa dar es salaam kuna duka nilikuwa nalikubali mtaa wa samora nimeshanunua laptop mara tatu lakini kati ya miezi michache computer inakuwa na natatizo kwenye betri na display

Wakuu hii laptop nimenunua last month mpya na accessories zote pamoja na bag na Warranty ya mwaka mmoja.
HP
Processor: Intel (R) CPU N3060 @ 1.60GHz
RAM: 4 GB
WINDOWS 10

bei ni fixed haipungui sababu nimeshusha zaidi ya laki kutoka actual price niliyonunulia mwezi uliopita , serious buyer ani pm Nipo Dar

img_20170404_091737-jpg.490928
img_20170404_091812-jpg.490929
img_20170404_091825-jpg.490930
img_20170404_091831-jpg.490931
img_20170404_091836-jpg.490932

Hard disk GB 464

Chief naomba unisaidie kama unafahamu sehemu au duka wanauza laptop nzuri kwa hapa dar es salaam kuna duka nilikuwa nalikubali mtaa wa samora nimeshanunua laptop mara tatu lakini kati ya miezi michache computer inakuwa na natatizo kwenye betri na display

sina uzoefu nayo sana hayo maduka, hawakupi warranty? kwanini usiwarudishie?

ninavyofahamu wanao supply vitu maofisini mara nyingi wanakuwa na bidhaa nzuri jaribu freedom computers jmall, office depot au hata wale capricon morogoro road karibu na mwendokasi kisutu. ila tu bei zao jiandae ni ghali compare na maduka ya kawaida ya uhuru

Uhuru warranty hadimu mno...

Freedom communication ndio nimekuwa nikinunua tatizo unakuta hizo computer kuna wakati unaweza kuiwasha ukasikia inewaka lakini display haidisplay kitu inabidi uizime kwa power button mara kadhaa ndio inawaka tena kama kawaida au kuna siku unakuta betri haipeleki charge lakini tatizo hilo linaweza kuchukua siku moja au mbili badae inakuja kuwa kawaida sema linaweza tena kuja kutokea tena baada ya miezi kadhaa

Nashindwa kuwarudishia sababu haya matatizo huwa yanatokea siku na siku kama hili la display sio mara kwa mara na ukiizima ukija kuwasha tena basi itawaka kama kawaida lilianza kutokea baada ya miezi saba au nane toka nilipoinunua nikaona isije kunisumbua baadae kuna jamaa yangu nilimuuzia saizi inamsumbua sana kwenye display akitaka kutumia inabidi mpaka aiinamishe ile screen

mkuu unajua si kila tatizo linakuwa ni la hardware, mfano windows 10 inayo bug la display kama unavyoelezea na kusolve inabidi ui update pc to latest version linaondoka.

pia hakikisha kila driver ipo up to date, hasa hasa graphics driver sababu zinatumika maeneo mengi sana

Ahsante chief nitalifatilia hilo ingawaje nilikuwa natumia window 7
kama ni win 7 inatumia cpu gani? kama ni hizi mpya za karibuni hili nalo pia tatizo sababu hawasuport driver za win 7 kwenye cpu mpya

Niliinunua freedom lakini ni muda kidogo ilikuwa mwaka 2012 mwishoni but kuna dogo alikuwa anaitaji laptop mwaka juzi nilimuelekeza hapo freedom alinunua hp baada miezi michache akawa analalamika betri inazingua nikajua tatizo litakuwa kama ile yangu lakini nilimwambia awe anaitumia hivyo hivyo ikiwa kwenye chaji badae itakuwa vizuri sema hilo tatizo linakuwa linatokea mara moja moja ingawa tatizo la display kwa yeye ajakutana nalo

sina uzoefu nayo sana hayo maduka, hawakupi warranty? kwanini usiwarudishie?

ninavyofahamu wanao supply vitu maofisini mara nyingi wanakuwa na bidhaa nzuri jaribu freedom computers jmall, office depot au hata wale capricon morogoro road karibu na mwendokasi kisutu. ila tu bei zao jiandae ni ghali compare na maduka ya kawaida ya uhuru
Chief...naomba unisaidie jinsi ya kupata build number ya simu ilio brick....naitaji kupakua stock ROM....simu ni tecno w4

Similar Discussions

Back
Top Bottom