Mkuu mbona unashusha bei hivyo wakati bei ya vyakula kila siku inapaa?
kilimanjaro kuku 7000.
uwe unatafuta oda kabla hawajatimiza muda wakutoka kukwepa kukata mtaji.
sawa mkuu ila mie nipo DAR ,ntafanya hivyo next time.kama kuna dalali au mnunuzi wa jumla niconnect nae.
me niko mbali. zunguka utafuta oda sio lazima utoe kuku wote kwa mpigo unaweza kutoa 60 leo kesho 80 mpka wanaisha.
chukua sampo izungushe upanue soko kwa batch ijayo
na ya sasa.