20*20 mita au ft?Kilomita moja kutoka barabara kuu ya lami.
2m tuongee mkuuKiwanja ni changu mwenyewe,hakuna dalali.
Ukubwa ni mita 20*20(400sqms).
Bei 3mil.
Umeme upo jirani,barabara ipo na pamejengwa vizuri.
Mawasiliano 0656608136(Piga,tuma sms na Whatsapp)
Karibuni.