Kiwanja kinauzwa Madale

Chambuso2017

Member
Feb 14, 2017
50
22
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba (6.7M) na maongezi kidogo yapo. Kwa maelezo zaidi nicheki PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom