Remote ya Subwoofer

sterter

Member
May 25, 2015
94
52
Habari zenu wadau.
Nahitaji remote ya subwoofer kwa anayefahamu wapi naweza pata au kama anayo tufanye biashara.
Remote iliyokuwepo ilikuwa inaongeza sauti,bass na stereo lakini haiwezi kubadilisha toka radio tune kwenda mp3 au CD.
Ambayo ni hii hapa na sasa haifanyi kazi kabisa
IMG_20170414_081329.jpg

Na hii ni aina ya subwoofer
IMG_20170414_081726.jpg
.
Naomba mwenye uelewa na hivi vitu anisaidie Tafadhali.
 
Back
Top Bottom