Nahitaji kiwanja majani mapana Tanga

Johntest

Member
May 11, 2016
32
20
Salama wakuu. Naomba msaada kwa aliyepo Tanga. Natafuta kiwanja cha bei poa naeneo ya Majani Mapana. Ni eneo la kujenga nyumba ya kuishi. Msaada plz.
 
Majani Mapana,viwanja Vinci tayari vimeshajengwa,labda useme unataka kumvua MTU kiwanja. Kama ndio Sema bajeti yako.
Nina viwanja Pongwe,umeme na maji yapo,Barbara hadi mlangoni.
Ukihitaji njoo PM
 
ninacho kange nyuma ya kiwanda cha pembe karibia na kwa jaji. NI PM kama upo seriously na pesa ya uhakika
 
Naona hapa hatuelewani. Nataka kujua hyo 9M ni kiwanja cha ukubwa gani mkuu. Mita,feet,hatua,fimbo ngapi kwa ngapi?
 
Majani Mapana,viwanja Vinci tayari vimeshajengwa,labda useme unataka kumvua MTU kiwanja. Kama ndio Sema bajeti yako.
Nina viwanja Pongwe,umeme na maji yapo,Barbara hadi mlangoni.
Ukihitaji njoo PM
Viwanja pongwe size ngap? kwa sh ngap?
 
Mkuu, unaposema approx ina maana kiwanja hakina offer or hati (title deed)? Maana hizo docs zinaonyesha vipimo sahihi vya kiwanja.

Vv
ni serikali ya kijiji . hakina hati , kama nilivyosema ukikiona ndio itakuwa vizuri , mm nipo nje ya nchi, ukitaka kukiona nikuunganishe kwa kaka yangu yupo Tanga mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom