Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji laptop mpya au iliyotumika kidogo sana.. Vigezo vya laptop ni hivi 1. Iwe H.P au Dell 2. Iwe na RAM at least 4GB. 3. Processor iwe i5 au i3.. but i5 itapewa kipaumbele zaidi.. 4. HDD iwe...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Samsung s6 Edge Plus Tsh 900000/= Samsung s6 Edge Tsh 800000/= Iphone 6plus 64gb Tsh 1050000/= Kwa mawasiliano zaidi simu no 0652971495
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Toyota Ist Well maintained 2006 model Mileage 52000km No accident/repaint Location - Dar es salaam Tsh 10.4milion Call/WhatsApp 0714 521128
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu ninahitaji kujuzwa kwa undani ni jinsi gani naweza kupata vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumbani Pia napenda kufahamu ni namna gani vinafanya kazi (sina uelewa juu ya nishati hii). Na pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Starlet Glanza Mileage : 143,910km Engine size: 1,300cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual Drive : 2WD (TWO WHEELS DRIVE)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Ninataka kufungua stationery ambapo pia nitakuwa natoa huduma za IT karibu na chuo chochote hapa Dar es Salaam, naomba msaada wenu kwa yeyote anaejua ni sehemu gani na chuo...
1 Reactions
0 Replies
916 Views
Wanajamvi nataka chumba kimoja au chumba na sebule mtwara mjini kama nje ya hapa,kisizidi km 5 toka town. Namba zangu 0765505756
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza piki piki aina ya honda click-nauza shilingi 2,000,000 ipo kwenye hali nzuri kwa mawasiliano zaidi piga 0714 114453 nipo dar-temeke-kijichi
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Chumba na sitting Room.vipo mbez Luis vipo ndan ya get na parking ya gari ipo sh 100,000 kwa mwenzi .for infor contact 0713 95 92 90
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Napatikana Mwanza.. Ina Ram 2GB.. Processor 1.8Gb Operating system ni windows7 64bits Bei ni Laki 3 na 90 elfu... Ipo katika hali nzuri, imekosa adaptor tu, nakupatia moderm inayotumia line zote...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Haidaiwi chochote, wala haina ubovu ni kuwasha na kuondondoka Gari ipo tanga 0653551607
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
1 Reactions
4 Replies
929 Views
Simu ya kibosi kabisa bei ya kutupa 140,000....na chaji yake.........Locationa Dar es salaam,Urafiki.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta chumba kimoja kikubwa selfcontaned kwa sh 100,000/= maeneo ya Magomeni, Ubungo na Kinondoni kiwe karibu na mwendokasi. Mtu yeyote ani PM
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Aneifahamu naomba anielekeze kinapatikana wapi nikisome, Kina ujumbe mzito sana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kiwanja ~Kiwanja kinauzwa Maeneo ya Kimara Mwisho(Matosa) kina Mita 15(upana) Mita 30 (Urefu) Bei ni Shs Million 10 Umeme,Maji na mahitaji mengine yapo.... Maongezi ya Bei yapo Mawasiliano 0713...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Wadau nauza gari toyota starlet. Gari iko dar na iko poa kabisa bila deni lolote. Bei ni 4.5m. Kwa serious buyers please tukutane PM.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mandhari tulivu na sehemu ya kutengenezea historia ya maisha yako,ukumbi unachukua hadi watu 500, Karibu sana tunapatikana Bahari Beach, kwa Tshs 1,500,000/= Follow kwa ofa na matangazo yetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninauza nyumba ipo keko mwanga MSD..haijaisha vizuri ila ina wapangaji wawili..kama ikimaliziwa itakuwa na vyumba 6 na frames 2..ni eneo la makazi ina leseni kabisa..nina shida ya dharura...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nahitaji mawe trip zaidi ya 50 Dar siku ya leo, kesho na Jumamosi. Kama unazo njoo inbox. Kupakia na mawe yenyewe yasizidi laki moja gari ni kubwa mwisho wa mawasiliano saa tano.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom