mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 87,019
- 120,312
Ni mashine inayotumika kuchoma
Kuku(chicken grill)
Inatumia umeme pia unaweza Tumia gas.....
Msingi/tumbo moja unaweza kuwapanga Kuku 6...na sehemu za kuwaweka Kuku ziko fimbo 5...
Kwa hiyo kwa wakati mmoja unaweza kuwachoma Kuku 30....
Mashine hii Tangu Ije haijawahi tumika....
Kama wee ni mfanyabiashara unaye jishugulisha na uzaji wa vyakula hii itakufaaaa
Bei ya kuuza ni mln 3.....
Mimi ni mmiliki wa mashine hii kwa anaye hitaji anaweza wasiliana na Mimi militia # hii 0715591141 napatikana dar...