Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza mbao, na mabati ya kisasa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za pasaka, Yanahitajika madirisha ya aluminium kama heading inavyosema. Bei isizidi 190,000. Mazungumzo mengine yapo. Mwenye nayo au hardware inayotengeneza anipm Pasaka njema
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya vioo vya iphone aina zote na kwa bei nafuu kuliko sehemu yeyote karibuni mtaa wa swahili na muhoro au piga simu namba 0682786235
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau inahitajika Fuso Mitsubishi mayai namba C au D engine 6D16 au 6D17 njoo nayo pm na bei yako tufanye biashara. N.B Isiwe tandam iwe ya kawaida tu body ya aluminium
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta binti wa kazi za nyumbani, majukumu ni kulea mtoto na kufanya kazi za kawaida za nyumbani. umri kuanzia miaka 18 mpaka 23 lakini hata chini ya huo umri pia nitampokea . Awe tayari kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari waungwana mimi ni kijana mwenzenu nahitaji app ya kibiashara na matangazo hivyo mwenye uwezo ani tafute kwa namba ya simu hii au whatsapp 0715426668
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Amani iwe juu yenu wana bodi Waungwana nimeamua kutangaza kuuza kiwanja changu mkuranga kwa bei poa kwa yeyote anaehitaji awasiliane nami kubwa jinga jr, Kwa yeyote tutakae wasiliana mapema...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanabodi.. Karibuni sana kwenye huduma zetu kama zinavyoonekana hapa chini. HUDUMA ZA KITAALAMU ZA UTAFITI WA MAJI NA UCHIMBAJI WA VISIMA (PROFESSIONAL GROUNDWATER INVESTIGATIONS AND...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inapangishwa [emoji117]2Rooms [emoji117] public Toilet [emoji117]sitting Room [emoji117]kitchen [emoji117]Fence&Parking [emoji117]slide windows...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Easter imenijia vibaya hii duuh , nimetenga kahela kangu ka kula , lakini nomekosa kampany kulingana na mazingira niliyopo kuwa mgeni mgeni zaidi asubuhi nimeamka naumwa daaashhh But nimeshspata...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Nyumba nzuri na ya kisasa ipo Mwanza ina vyumba 3 kimoja master,suttting 2 ,jiko ,dinning pamoja na public toilet.IPO igoma kishiri bei milioni 35 tu. Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa 0742159555
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Wakuu habari na shida na kiwanda cha mifuko ya kuhifadhia mahindi ili nikanunur kwa bei ya kiwandani. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Kibada 20x30m=mil 20 ([emoji593]km 11 toka ferry) Kisarawe II 20x30m= mil 9 ([emoji593]km 17 toka darajani) mbutu Bichi 20x30m=mil 9 Mwembe mdogo 500sqm =7mil Lingato 20x30m=mil 9...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Helo majasiriamali mwenzangu pole kwa majukumu Natumaini umesoma heading vizuri natumaini umewahi kuona matangazo kadha wa kadha katika mitandao ya kijamii yakitoa matangazo mbalimbali...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Mark x Mileage : 74,326km Engine size: 2,500cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF. Naamini huku nitapata msaada kwa haraka kidogo..nina ujenzi unaohitaji I-Beam na angle line zitakazotumia bolt kuunganisha na sio kuchomelea na structure ni kama mnara wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza samsung video camera ikiwa bado mpya ina miezi mitatu tu tokea niinunue, ninashida na pesa so nauza kwa bei nafuu kabsa karibu na bure, ina record HD videos na inapiga picha pia, ni portable...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Nahitaji remote ya subwoofer kwa anayefahamu wapi naweza pata au kama anayo tufanye biashara. Remote iliyokuwepo ilikuwa inaongeza sauti,bass na stereo lakini haiwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekali 38 pamoja na miti yake aina ya mpaina yenye umri wa miaka 5 naliuza. Shamba lipo wilayani Mufindi maeneo ya Mudamulo-Mafinga. Ekali moja ni sh. 1,000,000 tu. Unaweza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom