Msaada; Soko la kuku Dar es salaam

fighter f

Member
Mar 24, 2017
10
3
Mimi nimeamua kufuga kuku lakini changamoto ni soko Niko dar esalaam kwa mwenyej pleas anipe mwanga
 
Hongera mkuu kwa kujikita ktk ujasiriamali.
Japo bei ya kuku hapa jinini inaonekana kua juu sokoni, kwa upande wa wafugaji/wazalishaji hali sivyo ilivyo.

Changamoto ni kubwa ktk kupata soko hasa ukizingatia mfumo wa biashara uliopo hapa mjini ambao umezungukwa na madalali wengi.

Vilevile wafanyabiashara wa kuku tayari wameteka sekta muhimu kama mahoteli na migahawa kwaajili ya kuwasambazia nyama ya kuku japo sio sehemu zote, unaweza bahatisha chache ukapata tenda ya kuwasambazia kitoweo hicho.

Mfumo wa ununuzi wa kuku kwa wafanyabiashara wa kuku wa hapa mjini ni wa moja kwa moja kutoka vijijini ndani ambapo tayari wana watu buko na huwatumia hela na wao kutuma mzigo. Hivyo mfanyabiashara ananunua kuku kutoka kijijini akiwa hapa Dar kwa bei ileile ya kule kijijini na hivyo kupata faida maradufu kuliko hata mfugaji aliyehangaika {usitegemee kumuuzia mfanyabiashara kuku kwa kuangalia bei ya soko hapa mjini}

Kama unauweza kutengeneza mfumo wa kuwauzia walaji wa kawaida itakulipa zaidi hasa ktk vipindi vya sikukuu kuliko kutafuta mteja wa kumuuzia jumla ambapo unaweza usimpate.

Nimeona nizungumzie ktk upande huo mengine wadau watajazia.

Usikate tamaa mkuu, changamoto ni sehemu tu ya maisha ila ni lazima yasonge mbele.
 
Ashkru mkuu
 
mie na wangu hapa ni dar nawauza kwa 5500 jumla wapo 200.kama kuna mtu anaweza kuja tufanye biashara.
 
mkuu njoo huku unisaidie
 
Back
Top Bottom