INAUZWA MATANK IMARA YA SIMTANKS YANAUZWA KWA BEI POA.

Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,603
1,135
Habari,wanaJF Nauza MATANK YA KUHIFADHIA MAJI YA SIMTANK...Yapo mawili moja ni la "LITA 10000"..na lengine ni la "LITA 7000"...Yote yapo vizuri hakuna Hata Moja lenye kiraka na yamezungushiwa mikanda special kabisa kuongeza lifespan yake Kwa kuzuia presha ya maji yakiwa ndani,yapo mahali pamoja tokea yaliponunuliwa hayajasumbuliwa kuhamishwa hamishwa,yametumika kidogo ila bado ni mapya la LITA-10000 linauzwa million.2 na LITA-7000 Linauzwa laki.8 na 80...kote maongezi yapo,karibuni wakuu wanaohitaji wanitafute Kwa "0712269097"...ahsanteni.
 
Tanks bado zipo wapendwa...punguzo lipo pia,mnakaribishwa!
 
Back
Top Bottom