Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello guys, got interested with the forum and i am now in!
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Sitakuwa na maneno mengi ya kuwaambia humu ndani nataka tu mjue dume limeingia na ole wenu msinikaribishe na kwa kuanzia natafuta mchumba aliye interested ani PM nimtumie e mail yangu tuwasiliane.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimu members wote wa jf.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi jukwaani! Namshukuru Mungu kunipa wasaa kujiunga katika jukwaa hili muhimu. Tusonge mbeleeee!!!
0 Reactions
5 Replies
976 Views
naomba kuwapamoja nanyi katika kupeana changamoto asanteni make nipo tayari katika kurasa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hii ni nzuri sana inatupa fursa watu wa kawaida kutoa mawazo yetu, hongereni sana wote mnaoshiriki.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalaam alykum! Nisameheni jamani niliingia bila hodi wakati wa uchaguzi. Sasa nawasabahi rasmi. Nimefarijika sana na JF kwani penye wengi pana mengi. Hodiiiiiiiiiiiii:target:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi Wakuu, nimekuwa napita hapa jamvini kila siku, nikanogewa na mazuri, sasa naomba nami nakae tujadili wote mambo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam wanajamii nimekaribia jamvini naomba Mungu aniongoze kujifunza kutoka kwenu na kuweza kutoa mchango wangu
0 Reactions
8 Replies
3K Views
HODI JAMANI. NAFURAHIA MAJADILIANO YANAYOFANYIKA JF KWA UWAZI UNAOJITOSHELEZA. NITAFURAHI KUKARIBISHWA NA KUWA MWANA JF. HITAJI KUBWA LA TANZANIA LINAFANANA SANA NA MANENO YA MWANDISHI HUYU WA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za kazi waungwana!,naomba kuingia humu ndani,nimeona nipate ridhaa yenu,kwa kuwa KUKU MGENI hakosi kamba MGUUNI nikikosea naombeni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninayofuraha kukaribia kwenye forum hii ya jamii....naamini mungu ataniongoza kujifunza kutoka kwenu wanajamii na pia kuwezakutoa mchango wangu rgds, hunduka daraa
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Naomba ruhusa ya kukusalimia.......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamii mpoooooooo!!!!!!! Mimi ni mwanajamii mpya kabisa, yaani brand new. Sichachakachuliwa na itikadi yoyote wala siasa zozote au dhehebu wala nchi yoyoye zaidi ya shule ya darasani. naomba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba niingie hadi ndani na Nijitambulishe kwenu wanajamvi! Naombeni ruksa yenu!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi! Salam zangu kwa wote mliofungua post hii...kwanza pili nikupiga hodi ukumbini hapa kulikonivutia sana sana....naomba ushirikiano wenu wakubwa...ni mimi wenu nilham....:a s 103::a s 103:
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Natumaini ndiyo
0 Reactions
3 Replies
950 Views
Samahani nilikuja wakati wa uchaguzi, samahani sikufanya busara kupiga hodi kwanza.... Hamjambo ndugu zangu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello guys! I am a new member in this forum and i would like to just greet you. i have decided to join this forum so that i can contribute something. Have a nice day people!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUBWA HABARI ZA HAPA? NATUMAINI WOTE WAZIMA NA POLENI NA KAZI:A S-key:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom