Kwanza naomba mnisamehe kwa kuingia jamvini bila hodi. Nilijiunga na jamvi baada ya tarehe 31 octoba ya 2010. Kilichonivutia awali ilikua ni kupata matokeo ya uchaguzi. Ila baada ya kuona michango...
Ndugu wanamjamvi napenda kijitambulisha kwenu kama mpiganaji mpya katika jukwaa hili.napenda pia kushukuruni sana ndugu wazalendo,wataifa,wapigania na wafia maendeleo ya taifa hili kwa kuibua hoja...
Hi guys, am taking this opportunity to alert you that, am a new member to JF, thereof am begging your kindly co-operation.
bare on mind that To Love is not to give of your riches to others, but...
Mimi naitwa Mathias BYABATO Nimeamua kujiunga rasmi na jukwaa kwa kutumia jina langu kabisa
lengo ni kutaka kuaminiwa kwa yale nitaklayokuwa nikitoa bila kificho.
punde avantor yangu itakuwa...
Zanzibar Yateuwa Makatibu Wakuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Watendaji Wakuu katika Ofisi na Wizara za Serikali ya Mapinduzi...
Wanajamvi sijui niwape Shikamooo kama wanauchakachuaji CCM waombapo kura au niwape CDM Oyeeeeeeeeeeee kama vile Mkuu wetu wa Nchi moyoni mwenu asalimiapo wananchi wake......anyway nabisha hodi kwa...
Hodi wandugu humu ndani!
Niliingia JF miaka mitatu iliyopita, bahati mbaya sikuwa active kidogo; japo nimekuwa nikisoma baadhi ya posts nikipata nafasi pasipo kutoa comments. Maana si kila kitu...
Habari wana jamii.
Ni matumaini yangu nitakaribishwa katika hii Forum ya Great thinkers, naomba kukaribishwa ili angalao na mimi niweze changia agalau machache yale nielewaya. asanteni sana
Salaam wazalendo wenzangu, nilikuwa nawachungulia tokea zamani leo nimeamua rasmi kuingia ndani najua kwa utamaduni wa kitanzania mtanikaribisha ukizingatia nimechagua siku ya baraza jipya...
Kikamavu naingia, salam wafamilia,
mengi ninayo semea, ya chombo hiki murua,
Nyingi pongezi pokea, Kwa yote mliyofikia,
sasa mefika wasaa, naomba yenu ridhaa
:target:Watanzania tuwacheni kasumba wakujifanya sisi ni wakamilifu tuache tabia hiyo:target: kosoa panapotokea kosa usikosoe kabla ya kutendeka kosa:A S clock: hakuna alozaliwa kuwa anajuwa na...
I don't care if the thread am starting had been there before. I didn't see it and so do the other new comers. If you move it and never leave any tracks for me to find it, you are not fair. I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.