Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa. Hoping for a hot welcome from you all. Thanks and best wishes in this festival season...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
WE ALL KNOW THAT EDUCATION INCREASE KNOWLEDGE. SO WE ASSUME THAT ANY ONE WITH EDUCATION WILL BE THE MIRROR OF SOCIETY AND IS THE TRUE THING THAT WHEREVER YOU HAVE PASSED THROUGH YOUR EDUCATION...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habarin wandugu,na2mai wanaJF wote wazima.nimeona nifanye jambo la kishujaa kabla ya kumaliza mwaka kwa kujiunga jamii hii ya wa2 hawa.asanten
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu bana, napenda kuungana nanyi ktk ku share ideas na experience mbalimbali za maisha, mimi naitwa Mzimasana, 2ko pamoja!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asalam aleikum waungwana. Miye nimeisomeni sana mijadala yenu nikaona nijisogeze ati nipate uhondo zaidi. JF ni junguu kuu. Nawaombeni nyote karibisha lenu. ahsanteni sana
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF, mimi ni mteule wa RAHISI wa INCHI HII ya Jah-Mhuri wa Muunga-ngano, naomba uthibitisho wa MJENGO WENU MTUKUFU . . . niwaongoze kwa miaka 60 ijayo . . .
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi
Hello JF members I am a new member, napenda ku-interact na watu, so nimeamua nijiunge katika JF. I plan to be very active so watch out for this username. Peace
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Jamii Forums toka ikiitwa Jambo Forums.Kila siku lazima niingie humu ili kujua kinachoendelea hapa nchini na dunia nzima kwa ujumla kwenye nyanja mbalimbali kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjambo ! Nimeingia Marry X mass all
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Nakaribishwe wandugu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum::peace:
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Mimi ndio kwanza nimekuja hapa mjini...............naombeni munikaribishe wanawaneeee:A S clock:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kijana mwenzenu nimeingia ..mnipokee tafadhari
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Najisikia furaha kujiunga na hii platform ili nami niweze kushirikiana nanyi wanajamii katika nyanja mbalimbali. Kwa heshima na taadhima naombeni mnikaribishe, Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana, ninabisha hodi na kuwasalimuni. Mie mwanafamilia mpya jamvini naomba mnipokee. Wasalaam.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi hodi wana JF. Hodi mpaka ndani!!
0 Reactions
4 Replies
798 Views
Nawasalimu wakubwa na wadogo kujitambulisha kwenu
0 Reactions
6 Replies
975 Views
Habari wana JF,mi ni mwana JF mpya,nawapa salam ndugu zangu, naomba mnipokee kwa mikono miwili,naamini nitanufaika na kujifunza mengi mapya ktk nyanja zote za maisha. Ahsanten sana,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello JF. Mimi ni Njuka humu naomba mnikaribishe jamani. Ahsanteni.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
i am aizak
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom