Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii greatest want of tz

ONE DAY YES

New Member
Dec 5, 2010
3
0
HODI JAMANI. NAFURAHIA MAJADILIANO YANAYOFANYIKA JF KWA UWAZI UNAOJITOSHELEZA.
NITAFURAHI KUKARIBISHWA NA KUWA MWANA JF.


HITAJI KUBWA LA TANZANIA LINAFANANA SANA NA MANENO YA MWANDISHI HUYU WA VTABU. ALIANDIKA HIVI KATIKA KIATBU CHAKE KIMOJA.

The greatest want in the world is the want of men.
Men who will not be bought or sold
Men who in their inmost souls are true and honest.
Men who do not fear to call sin by its right name.
Men who's conscience is as true to duty as the needle to the pole.
Men who will stand for the right though the heavens fall.

JE HAO TZ TUNAO?
 
Karibu Mkuu ila huku Jukwaa la siasa ni Sebuleni mlango upo kwenye forum ya introduction Anyway karibu
 
hapa unajiintrodyusi, au ni sredi la kujadiliwa? halaf mbona liko kwenye siasa wakati linaongelea vitabu vya saikolojia? fafanua tafazali.
 
Haya ndo madhara ya ugeni. Unaweza kugonga dirisha ukidhani ndo mlango. Unajua huku mjini kuna madirisha makubwa kuliko milango. Nashukuru hata hivyo kwa ukaribisho wenu.
 
Back
Top Bottom