akep New Member Nov 22, 2010 3 0 Dec 7, 2010 #1 habari za humu ndani? hii nikuwataarifu wana jamii forum ya kuwa namimi nimejiunga rasmi katika jamvi.
habari za humu ndani? hii nikuwataarifu wana jamii forum ya kuwa namimi nimejiunga rasmi katika jamvi.
D DENYO JF-Expert Member Sep 14, 2010 698 57 Dec 7, 2010 #2 Katiba mpya ndio msimamo wetu songa mbele na kauli mbiu hiyo. Mawazo mapya tumaini jipya inawezekana kwa pamoja
Katiba mpya ndio msimamo wetu songa mbele na kauli mbiu hiyo. Mawazo mapya tumaini jipya inawezekana kwa pamoja
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,846 9,437 Dec 7, 2010 #3 Karibu. Babu na bibi umewaacha salama?
The Planner JF-Expert Member Dec 1, 2010 357 118 Dec 7, 2010 #10 Karibu and enjoy the freedom of expression
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,149 9,247 Dec 9, 2010 #13 pita mpaka chumbani mlango uko wazi.....