Nabisha hodi

Dec 1, 2010
68
4
wanajamii mpoooooooo!!!!!!!
Mimi ni mwanajamii mpya kabisa, yaani brand new. Sichachakachuliwa na itikadi yoyote wala siasa zozote au dhehebu wala nchi yoyoye zaidi ya shule ya darasani. naomba mniendeleze ili niweze kusimama kwa miguu yangu mwenyewe. nina miaka kadhaa sasa ya kufanya biashara hapa US na nategemea kurudi Bongo 2015 kugombea udiwani, kisha ubunge na 2025 urais.
 
Karibu sana na mawazo yako mgando ya kugombea urais 2025!it is unpredictable game,however I wish you all the best!!
 
Hey,
Style yako kama ya mbunge wa kigoma kaskazini.
Karibu sana.

P.S: Vipi mihela ushatuma bongo kwa WU?
 
Back
Top Bottom