Twilumba JF-Expert Member Dec 5, 2010 11,871 13,107 Dec 5, 2010 #1 Naomba niingie hadi ndani na Nijitambulishe kwenu wanajamvi! Naombeni ruksa yenu!
B Babuyao JF-Expert Member Jun 6, 2009 1,741 272 Dec 5, 2010 #2 Nakukaribisha wa kwanza. Karibu sana.
P PONJO MULA Member Dec 4, 2010 7 0 Dec 5, 2010 #4 Karibu sana Babaubaya, lakini uje na uzuri ubaya uache nje.
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,834 9,413 Dec 5, 2010 #5 Babaubaya said: Naomba niingie hadi ndani na Nijitambulishe kwenu wanajamvi! Naombeni ruksa yenu! Click to expand... subiri kidogo tunavaa.
Babaubaya said: Naomba niingie hadi ndani na Nijitambulishe kwenu wanajamvi! Naombeni ruksa yenu! Click to expand... subiri kidogo tunavaa.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,986 12,742 Dec 5, 2010 #6 karibu sana zingatia kanuni na sheria za nyumba yetu, ubaya achana nao hapo nje.