Hello wanaJF! mambo zenu? Anyway hatimae niko in ze house.
Nitapenda kushirikiana na ninyi ktk topic mbalimbali pale panapobidi kufanya hivyo!
Ahsanteni!
Nice to join you here.
Work hard, have a great and enjoyable day.
Avoid false excuses like this one
Father: Why are your exam marks so low?
SON: Because I sit at the desk at the back, Dad.
Father...
Hodi hodi wenyeji, wanfamilia wa JF..
Najitambulisha kwenu, mimi mgeni mpya wa familia hii kubwa. kijana wa kiume nnayejulikana kwa jina la mwesiga.
Nashukuru sana kwa kunipokea
Nawaheshimu niliowakuta kwenye bodi hii nimeambiwa nifanye hivyo! Nisiowakuta hata sijui!!?? Mnipokee hivyo hivyo, nilikua outside member, sasa ndani ya nyumba
Nimefuatilia jamii forum kwa kipindi cha miezi mitatu na nimevutiwa sana jinsi watu wanavyo wakilisha mada na kuzichanganua. Pia napenda ukweli na uwazi ulivyotawala humu jamvini. Ukichemsha...
Ni furaha kuwepo pamoja nanyi ndani ya hili jamvi tukufu.
Ni matumaini tangu tutashirikiana na kusameheana kwani sisi wanadamu asili yetu ni kukosea na kuwa wahitaji siku zote.
Asanteni.
Wadau wa JF,
Napenda kutumia fursa hii kujitambulisha kwenu rasmi. Nimekuwa nikishiriki kwenye jukwaa hili kama mgeni, lakini sasa nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mwanachama.
Nimekuwa nikivutiwa...
Kwa heshima na taadhima nabisha hod jamvini,nawasalimia kwa heshima tulofunzwa na wahenga wetu wakubwa kwa wadogo,wake kwa waume;naomba mnipokee...
Nimekuwa nikifuatilia takriban miezi minne...
Cv:
Jina msomi wazama
umri:nimezaliwa 1942,tabora
1960-1962:cheti cha kilimo nyegezi mwanza
1957-1960:middle school sikonge tabora
1953-1957:elimu ya msingi
uzoefu wa kazi/uongoza...
Nimekuwa nikisoma JF kwa muda sasa na kweli nimejua mengi sana na leo nimeona niungane nanyi na kuwa miongoni mwa wanajamii! Bila kinyongo najua nitakaribishwa!
Nangoja kukaribishwa hapa !
Kwanza naomba mnisamehe kwa kuingia jamvini bila hodi. Nilijiunga na jamvi baada ya tarehe 31 octoba ya 2010. Kilichonivutia awali ilikua ni kupata matokeo ya uchaguzi. Ila baada ya kuona michango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.