Hello People,
Just wanted to introduce myself in this forum.BTW, have been following up discussions and news for sometime without registering but now i wish to be a member!!
Cheers!!
Jamani hodi humu!!
Mgeni naomba kujitambulisha kwa wenyeji....!
Nimekuwa nikichungulia dirishani kwa muda sasa, nikaona niingie sebuleni ili nipate kujifunza mengi zaidi! Naamini mnanikaribisha...
Kufikiri, kuibua hoja na kuwasalisha mawazo ni sehemu ya upeo wa akili yangu, mi ni mdau wa Siasa,Elimu,Teknolojia,Uhusiano na mapenzi. Nawaombeni wana JF mnipoke kwa mikono miwili hooodi!!!
Hodi Jamvini Humu, Heshima zenu woote jukwaani.
Miaka mitano iliyopita mwezi kama huu na tarehe kama Bongo Pix Blog ilizaliwa, post ya kwanza iliwekwa katika blog, hayakuwa maamuzi mepesi kuanza...
habari za kazi wana jamii hongereni kwa kazi za ujenzi wa taifa wengi mnafahamu kuwa mimi ni mgeni jamii forum inaweza ikawa kweli ...mimi ni mgeni wa ku post thread ila co mgeni wa jamii forum...
Kila chanda chema huvishwa pete.jf.idumu wana jf hongereni. Kiukweli ninayo mengi yakusema. Ila kwakua nimgeni,napenda nitosheke na hili la kutambulika, kama mwana jf. Hai. Kiukweli nimefarijika...
Nachukua muda huu kuwaomba ndugu zangu wapendwa mnikaribishe kwenye hii familia ya JF. Nimejifunza mengi sana kupitia kwenu wakati nikiwa sio member. Sasa nimeona umefika wakati na mimi kuingi...
deadteja is here, jamani! naombeni, kwa mioyo iliyo kunjufu kabisa, mnikaribishe hapa kunako jamvi. msinitenge, mi mwenzenu under the same sun, the same god and l breath, of course, the same...
Wana JF, Kweli its an honor kua mgeni wa "Great Thinkers"; I believe nitapata meeengi toka kwenu (the IRONY nimeiskia Jamii Forum baada ya mwanasiasa wetu kulalama).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.