Hodi!

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
1,874
935
Jamani hodi humu!!
Mgeni naomba kujitambulisha kwa wenyeji....!

Nimekuwa nikichungulia dirishani kwa muda sasa, nikaona niingie sebuleni ili nipate kujifunza mengi zaidi! Naamini mnanikaribisha great thinkers!

Asanteni,
Kereni_Happuch
 
karibu sana dear..
madirisha tumeyafunga..
lakini milango yote imefunguliwa ajili yako..

feel free have fun take care....:car:
 
Asante sana dear Afrodenz.
Nimekaribia...looking forward to have fun..:smile-big:!

Thanks.
 
Karibuuuu..Keren,Ingia tu na viatu ucjali dear.Hapa kuna juice na chakula bado kipo jikoni.Jiskie upo nyumbani Keren.
 
karib sana keren happuch.

Hahahahaha...yaani Kloro umeenda kuitafuta hii thread ili unikaribishe leo???!!! Siku nimejiunga....yaani ni AD tu ndo alinikaribisha!...I think umesoma mahali fulani.......ndo maana ukakuja huku!!! Otherwize, senksi vere machi....!
 
yaani nimejilaumu sana kwanini sikuwa wa kwanza kukukaribisha! hivi ushakuwa mwenyeji au niendelee kukukaribisha tu?
 
yaani nimejilaumu sana kwanini sikuwa wa kwanza kukukaribisha! hivi ushakuwa mwenyeji au niendelee kukukaribisha tu?

Nitafurahi kama utanizungusha kidogo kwenye hii nyumba kubwa.....maana nielewe mazingira vizuri!!! Inawezekana kuna sehemu sizijui.....
 
Hicho kigezo ninafit...haya niambie huko ndo wapi?? kusini, kaskasini, mashariki au magharibi....nakusikiliza mwenyeji wangu....
huko unaleft click jina langu halaf unakwenda kwenye private message halaf unatoa dukuduku lako lote la rohoni halaf namimi natoa langu. tunalala bila stress
 
huko unaleft click jina langu halaf unakwenda kwenye private message halaf unatoa dukuduku lako lote la rohoni halaf namimi natoa langu. tunalala bila stress

Sasa mwl..nilifikiri unafundisha kwa vitendo......!!!! Nilifikiri nikirudi nitakuja moja tayari....!!!
 
Sasa mwl..nilifikiri unafundisha kwa vitendo......!!!! Nilifikiri nikirudi nitakuja moja tayari....!!!
akianza mwalim anaitwa fataki lakini akianza mwanafunzi inakuwa inasibitisha ni kiasi gani somo limeeleweka. Husninyo mwenzio tayari amekuwa mwanafunzi mtiifu. am vere proud of her.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom