NGO NGO hodiii hodiii

NGO NGO hodiii hodiii

Greater thinker

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
286
Reaction score
38
habari za kazi wana jamii hongereni kwa kazi za ujenzi wa taifa wengi mnafahamu kuwa mimi ni mgeni jamii forum inaweza ikawa kweli ...mimi ni mgeni wa ku post thread ila co mgeni wa jamii forum nilikuwa nikifuatilia sana mijadala mbalimbali humu jf(tangu deS 2006)lakini ckuwa member leo hii ndo nimeamua kuji register hivo nawaomba mnipokee VIZURI JAPO cc km cc bado 2po kwenye majonzi ya wenze2 wa kule zenj,kenya na burund....naimba 2heshimiane nahic mimi ndio member mdogo kuliko wote humujf.....assalaam aleykum...
 
Kwa nini tangu 2006 umekuwa ukichungulia tu bila kujiunga?
 
nilikuwa muoga wa kutukanwa na kushambuliwa kwa watu wa aina fulani hiviii bt hivi sasa naona wamepungua sana(japo hawajaisha)
ambao nilikua nikiona watu ambao waliokuwa tofaut nao wakishambuliwa
 
Greater Thinker anaogopa kutukanwa na kushambuliwa? hebu badili jina kwa msingi huu.
Karibu kwa mara nyingine Jamvini hapa.
 
nilikuwa muoga wa kutukanwa na kushambuliwa kwa watu wa aina fulani hiviii bt hivi sasa naona wamepungua sana(japo hawajaisha)
ambao nilikua nikiona watu ambao waliokuwa tofaut nao wakishambuliwa
Una uhakika na unayoyasema?
 
habari za kazi wana jamii hongereni kwa kazi za ujenzi wa taifa wengi mnafahamu kuwa mimi ni mgeni jamii forum inaweza ikawa kweli ...mimi ni mgeni wa ku post thread ila co mgeni wa jamii forum nilikuwa nikifuatilia sana mijadala mbalimbali humu jf(tangu deS 2006)lakini ckuwa member leo hii ndo nimeamua kuji register hivo nawaomba mnipokee VIZURI JAPO cc km cc bado 2po kwenye majonzi ya wenze2 wa kule zenj,kenya na burund....naimba 2heshimiane nahic mimi ndio member mdogo kuliko wote humujf.....assalaam aleykum...
Unapiga hodi wakati ushafika chumbani..angalia hizo posts
Join Date : 12th September 2011
Posts : 18

Rep Power : 0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom