Hodi wana familia ya JF

Hodi wana familia ya JF

kiroba

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
324
Reaction score
115
Nachukua muda huu kuwaomba ndugu zangu wapendwa mnikaribishe kwenye hii familia ya JF. Nimejifunza mengi sana kupitia kwenu wakati nikiwa sio member. Sasa nimeona umefika wakati na mimi kuingi akwenye familia hii ili niweze kutoa na kupokea changamoto zilizopo kwa familia hii ya JF.

Naomba kuwasilisha!
 
Karibu Kiroba.. Tupo pamoja arifu.
 
Kuwasilisha kwako... ni dhahiri kabisa kua ulikua kweli silent member... na unajua
kujipanga mada yako na jinsi ya kuwasilisha... Nimependa post yako

Mkuu karibu saana na I believe JF itakua to your satisfication....
 
Back
Top Bottom