knock knock, who's there?

deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
378
225
deadteja is here, jamani! naombeni, kwa mioyo iliyo kunjufu kabisa, mnikaribishe hapa kunako jamvi. msinitenge, mi mwenzenu under the same sun, the same god and l breath, of course, the same oxygen. together, lets make jf the home of true great thinkers!
 

Mwenzetu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
550
250
Kwa mikono miwili karibu sana,................deadteja,........................
 

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,227
1,500
Dah! Hilo Swagger uloooingilia... as if not dead but alive Teja!!

Karibu saaana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom